MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Makachero wa nigeria DSS, wamemkamata moja ya mtu hatarishi kabisa na muanzilishi wa BOKO HARAM.
Jamaa anajulikana kwa majina lukuki Kama Mohammed Usman, Khalid Al-Barnawi, alias Kafuri, Naziru, Alhaji Yahaya, Mallam Dauda, Alhaji Tanimu.
source:http://www.nta.ng/news/20160409-fou...breakthrough-in-the-fight-against-insurgency/