binadam ni mnafiki sana.Binadamu haridhiki
mwanasiasa haaminiki mkuuHuu ni mwaka wa uchaguzi! Hivyo tuchukue pia tahadhari ya kutowaamini Wanasiasa kwa 100%
mkuu kweli hatujakamilika bt tunaweza ishi bila unafikiHakuna binadamu aliyekamilika
Akikufanyia ubaya na kukuumiza hakimsumbui, ila ukimlipizia kisasi na kumfanyia kama alivyokufanyia yeye atalalamika. Sasa sijui kuna binadamu wenye mioyo ya nyama na wengine yao ya chuma
mkuu kweli hatujakamilika bt tunaweza ishi bila unafiki
basi binadam tupo tofauti, mie sijuagi kumnafikia mtuUnafiki ni moja ya mapungufu ya kibinadamu
basi binadam tupo tofauti, mie sijuagi kumnafikia mtu