Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:
Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada; msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM; Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba iligundulika watashindwa kukukamata wewe??????? Waswahili husema kama tinga tinga limeshindwa kubomoa nyumba! vipi pikipiki itaweza????? naombeni mnaotarajiwa kuhongwa na kurubuniwa mtafakari hayo.
Chadema ina secret committee ambayo hata uwe mjumbe wa mkutano mkuu hautawajua ni watu gani, inaweza kuwa hata ndugu yako akawa anakuchunguza haujua. Na si kila aliye kwenye intellijensia ya CDM yuko CDM kuna wengine wako CCM. Ninachoamini taarifa zako tu zikifika kwa mh. Mbowe unapigwa chini fasta. Kuweni makini fanyeni kazi kwa uangalifu wa hali ya juu.
sioni usaliti wa Zitto na Mwigamba zaidi ya mbowe kuhofia kiti chake.
madaraka matamu na mengine ni porojo tu.
mfano mwengine ni kuhusu mbwembwe zenu kuwa mnajiweza na CUF na NCCR manunuzi ni vibaraka wa CCM zimeishia wapi? mliona madaraka matamu hamtaki kugawana. mliambiwa tangia zamani shirikianeni na wenzenu mkajiona vidume, mmeona sasa hapatoshi mmojificha kwenye ukawa.
kuweni na akili.
Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:
Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada; msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM; Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba iligundulika watashindwa kukukamata wewe??????? Waswahili husema kama tinga tinga limeshindwa kubomoa nyumba! vipi pikipiki itaweza????? naombeni mnaotarajiwa kuhongwa na kurubuniwa mtafakari hayo.
Chadema ina secret committee ambayo hata uwe mjumbe wa mkutano mkuu hautawajua ni watu gani, inaweza kuwa hata ndugu yako akawa anakuchunguza haujua. Na si kila aliye kwenye intellijensia ya CDM yuko CDM kuna wengine wako CCM. Ninachoamini taarifa zako tu zikifika kwa mh. Mbowe unapigwa chini fasta. Kuweni makini fanyeni kazi kwa uangalifu wa hali ya juu.
Hili magamba hawalijui, naona hapa ni kama umewastua!Ndani ya ccm imejaa makamanda na ktk ofisi zote nyeti wapo makamanda
Hili magamba hawalijui, naona hapa ni kama umewastua!