kamati ya ufundi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 416
- 441
hahaaaa nakuogopa sana mdogo wangu labda uje mikono imekatwa
hahaa...hahaaaaBarnaba visa kweli[emoji3] [emoji3] anamuogopa billnass hadi anamwambia akienda studio labda akate mikono[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaharibu kisw wewe sio hiyo nyimbo ni huo wimboMkuu ni hiyo nyimbo eenh imekufanya utake kuwowa
Makubwa hayaUnaharibu kisw wewe sio hiyo nyimbo ni huo wimbo
Yamekuwa makubwa tena si ni kuelekezana tu? Nakuwa nashangaa hata watangazaji unawakuta wameshupaa kabisa eti nyimbo hii........asante kwa kunipa cheo cha ualimu[emoji1] [emoji1]Makubwa haya
Sawa mwalimu wa kiswahili