Niambie Tu
Senior Member
- May 29, 2022
- 198
- 363
Izo Pingu zinatoka Mbinguni?Pole sana ushafunga pingu nae jikaze wanawake wengi wako hivyo, biblia ishakwanbia ishi nao kwa akili
Huu ndo upuuzi ambao sipendi kuusikiaIzo Pingu zinatoka Mbinguni?
Huu ndo upuuzi ambao sipendi kuusikiaPole sana ushafunga pingu nae jikaze wanawake wengi wako hivyo, biblia ishakwanbia ishi nao kwa akili
Mkuu mwanamke kununa nuna huwa ni ishara kuwa HUJAMTOMBAA inavyotakiwa, mara nyingi wakiwa na nyege huwa wanakuwa na kisirani kisicho na sababu. JITATHMINI.Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Nakurudisha kwenu kifo kipiMawasiliano na ndugu zako ili iweje ??
Kama anajua malezi na Kazi iliyomleta vumilianeni
Kifo kuwatenganisha
Sasa jamaa km ni muumini wa hizo vitu huoni kumshauri ni ngumu bruh ?Nakurudisha kwenu kifo kipi
Mm siwez kula iko kiapo na kukaa kweny gereza na mwanamke mpumbavuu,kisirani kununa nuna,kususa,ugomvi ,maneno na usaliti ivyo sio tunda la roho harekebishiki anasepa sina pingu.Sasa jamaa km ni muumini wa hizo vitu huoni kumshauri ni ngumu bruh ?
Looh, umekuja kunianika humu?Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.
Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.
Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Humtombioo vizuriHabari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.
Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.
Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
KimeumanaaaLooh, umekuja kunianika humu?
Huyu mwanamke loyal, tulikubaliana mwanamke unabalansi mafiga matatu usibabaishwe na mmoja. 1. Pesa 2. Mkazo 3. Wa kutamba nae πKama utaendelea kuishi na Mwanamke wa hivyo,basi anza kabisa kuulizia Bei ya majeneza kisha ulipie kabisa ili usije ukasumbua watu.