Nianze kwa kujielezea kuwa mimi ni kijana kauzu hapa mtaani, sinaga umama, mazoea na vibinti mwiko! Kuna binti alileta mazoea ya kiwaki nikamnasa makofi! Hata nikikutana nao ni no salamu, no everything! Eboo [emoji34][emoji34][emoji34]
Kuna kibinti kizuri kweli, narudia tena ni kizuri na nina imani ipo siku nitakigegeda! [emoji39]. Huwa kinapita maeneo ya ghetoni, nami nakitupia jicho kulisindikiza zigo laini linalomlemea, anafahamu fika kuwa nimetokea kuvutiwa naye sema udomo zege sasa [emoji23][emoji23][emoji23] Hapana, ukauzu wakuu [emoji34][emoji34] sitaki mazoea na vitoto, ala!
Leo kanipita karibu yangu nikaamua kupanua domo nikamwambia, "Sorry sister, unaweza simama walau dakika moja tuzungumze!" Akaishia kubenjua domo lake na kuendelea na safari, nikaishia kumsonya tu! Kitoto cha watu kimenibabua na mpira usoni, hasira zote zilizosababishwa na yule mwanadada kunidharau zimekaishia maskini! [emoji3064][emoji3064]
Jioni mida ya saa 1 hicho kidada kikasogea maeneo ambayo mimi huwa nakaa ku refresh mind (ni pale pale uwanjani karibu na gheto), nilipogundua hilo, nikaamisha makao, lakini bado kikajisogeza karibu na mimi huku kikijichatisha! Nilivyomkazia macho akanisogelea akanambia, "Samahani kaka yangu, eti mchana ulinisemesha? Ni kama vile sema kichwa kilikuwa na mambo mengi" Nikamwambia sipendagi dharau [emoji34][emoji34] Nikaamka nilipokuwa nikaingia ghetoni, dakika tano natoka nje namkuta ukutani kaegemea huku anawaza!
Kakosa cha kufanya, Ni mpuuzi!