Huyu Mwalimu unadhani katokea pande zipi?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ daffur
 
Mbagala nako noma siku hizi, hata wanafunzi wanaingia class na majambia. Ni eneo ndani ya Kinana land kinaitwa mbagala
 
Somalia bwana iko hivi
Muuza mirungi Ak47
Iko mgongoni mteja naye
Anakuja kununua mirungi
Ak47 iko mgongoni hapo
Sasa mkizinguana ni mwendo
Wa kuwahiana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…