Huyu msichana simuelewi

fugees

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2,868
Reaction score
884
Wanajamvi,

Kwa wiki mbili hivi kila asubuhi navotoka home kwenda kazini nakutana na huyu mwanafunzi utafikiri anakaaga getini akiona natoka tu naye anakuwa anaondoka basi namuona kwa nyuma alivojaliwa na maringo na mwendo wa kunjunja. Kama siku nne mfululizo sasa juzi ijumaa natoka getini sikumkuta hapo nikamkuta mbele wanaongozana na boda boda yeye akiwa kwa mguu, nikaona isiwetabu nichepuka kanjia kangu wenyewe wakawa wanaelekea kushoto.

Ghafla namkuta boda boda miguuni kwangu ananisalimia na kuniambie eti nimempa nini yule demu mana 'mi namtongoza anasema yani yeye halali kwako ananakosa usingzi kila asubuhi najihimu pale getini kwao nimuone tu. Dah nikashangaa nikwamwambia boda boda mi simfahamu ila namuona takribani kila siku za shule hapa kwa wiki mbili! Basi boda boda akanipa namba ya yule demu nikaona sio kesi nikachukua.

Sasa kimbembe kama siku mbili zimepita kila nikimpigia pokea anahema tu na kukata simu nikafuta namba yake kwa hasira. Sasa leo jumapili namuona hapa nyumbani yupo na mwenzie wamesimama nikamsalimia hakujibu nikaöndoka zangu. Sielewi anamatatizo au hata sijui. Nyie wadada tatizo nini si bora mtu uongee tu kuliko kujiumiza bule.
 
Tena watu kama nyie mahakama zetu ndiyo zinawapenda kwa kutolea mifano ongeza juhudi
 
kama umemuona kila utokapo kwenu we anakuhusu nn.... mbona kuku na bata zenu husemi kama unaziona kila cku au kwa huyo 'demu' umeshangazwa na kipi... nadhani huwa unashindia mihogo
 
Ipange vizuri hoja yako kwanza maana haileweki vizuri!Mtwara hawajambo?
 
Anaumwa anahitaji msaada wa matibabu ila hajui aanzie vipi kukuomba msaada.
 
Tatizo ni ukimya wake au ni kuhema kwake. Ka ni ukimya waswahili husemaga; Mnyamaa kadumbu! Usjali, kadumbu huyoo. Ila chonde mwanangu watoto wa Dr. hao waache walivyo tu
 
Jela hiyooo wewe ona unapendwa unachezea sharubu za simba.
 
Shtuka! Milango ya jela inajifungua na kukuita.....!


".....taabu na raha zinakungojea ila zinategemea akili yako......"
 
Usikate tamaa siku akiwa tayari ataongea tu. We kaa ukisubiri huenda si mzoefu kwenye mambo ya mapenzi au anaona aibu. With time akikuzoea ataongea tu.
 
Atakuwa bubu huyo, wee mwite ghetto kula mzigo maisha yaeendelee, uki mmimba kimbia hama jiji kabla hujaozea jela
 
mpotezee tu. . . kwanza unampigia simu ili afu umwambie nini.. denti huyo mwache asome.. we endelea na kazi zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…