Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Nitakutumia mkuu
Ujinga upi mkuu?Na ujinga wako kwake ndo unaosababisha anafanya ivo
ha ha ha ha haHuo ni mchepuko namba ngapi?! Equation x
Anachekaha ha ha ha ha
Huyu mrembo simuelewi....
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya ya ndoa yangu?
bado tuu haujamla tunda kimasihara??Huyu mrembo simuelewi....
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya ya ndoa yangu?