habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na kunambia kuwa kavutiwa na sauti yangu hivyo kanipenda vyovyote nilivyo na lengo lake ni kuoana, sikumpa jibu rasmi ikawa tunaendelea kuwasiliana akaomba aongee na mama nikamkubalia sasa alipoongea nae akajitambulisha kuwa mimi ni mpenzi wake anataka kuja ili wajuwane, basi akafahamishwa mpaka nyumbani akaja akakaribishwa vizuri, sasa baada ya kuondoka akanitumia sms na kusema kuwa kazidi kuchanganyikiwa anaomba nisimtose nimkubalie tu ili aniowe, swali lipo hapa huyu jamaa hajawahi kunihuduia hata sent zaidi ya vocha nimaneno matupu hivi nikweli ana mapenzi yakweli? nisaidieni jamani nisijejuta kwa uamuzi nitakaotoa.
Mwambie kwanza akuhudumie na vijisenti ili kuonyesha mapenzi ya kweli kisha ndio akuwowe.
teteteteh, mwambie Amina mwambaie 'mchumba' akununulie apartment full furnished city centre, akufungulie na biashara ya boutique ukachukue nguo Ubatani na Hongkong.
Mwambie kwanza akuhudumie na vijisenti ili kuonyesha mapenzi ya kweli kisha ndio akuwowe.
Duh,
Kama wake watarajiwa wenyewe ndio hawa tutaoa kweli?
Unguja tabia hii ya mwanamke kukujua tu mara anataka kukufanya ATM inaitwa "Hashuo la Mkunguzuo"
habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na kunambia kuwa kavutiwa na sauti yangu hivyo kanipenda vyovyote nilivyo na lengo lake ni kuoana, sikumpa jibu rasmi ikawa tunaendelea kuwasiliana akaomba aongee na mama nikamkubalia sasa alipoongea nae akajitambulisha kuwa mimi ni mpenzi wake anataka kuja ili wajuwane, basi akafahamishwa mpaka nyumbani akaja akakaribishwa vizuri, sasa baada ya kuondoka akanitumia sms na kusema kuwa kazidi kuchanganyikiwa anaomba nisimtose nimkubalie tu ili aniowe, swali lipo hapa huyu jamaa hajawahi kunihuduia hata sent zaidi ya vocha nimaneno matupu hivi nikweli ana mapenzi yakweli? nisaidieni jamani nisijejuta kwa uamuzi nitakaotoa.
Mhhhh! sasa unataka kumfundisha mambo ya uchunaji wa buzi lol!...huyu hana makuu yeye vijisenti vichache tu basi anamtunuku njemba aliyevutiwa na sauti yake amuwowe.

sio ya kutunga niukweli halisi