Huyu mjamzito nimsaidiaje?

Zingatia mpangilio na uandishi ulio sahihi.
 
Kila kinachotokea dunian kinatokea kwa sababu sasa think yourself before...
 
nitarudi
ila kama unaniacha napotea vile!

unapotea vp wakat umeshaikubali dhambi ya uzinifu kabla ya ndoa au ulitaka nishaur nin labda me meona huo unakufaa sana wewe kajigongee kiroho safi tena unaonekama una shauku kama umepanga had meetng day wew ni hatar sana aisee
 
Nimeupenda ushauri wako. Ila tumuulize kwanza, ana mke? Maana yawezekana wamekutana!
 
kw hiyo kila mwenye shida hiiyo akikufuata utamsaidia jaribu kuithamini hiyo nani yako sio kila tundu tu unataka uchimbe.
 
mkuu huyu hakufunga ndoa huko alipo kuwepo
mimba ina miezi mitatu hata haionekani!
Kitu kinachonikwamisha na mimi kustuck ni suala la kotokumia kinga.
Hawa watoto wake wapo kwa baba mwingine hakai nao!
 
unapotea vp wakat umeshaikubali dhambi ya uzinifu kabla ya ndoa au ulitaka nishaur nin labda me meona huo unakufaa sana wewe kajigongee kiroho safi tena unaonekama una shauku kama umepanga had meetng day wew ni hatar sana aisee

maamuzi haya yamekuja baada ya yeye kujitapa kuwa mimi ni mwanaume suruali
ndio nikapanga date of game
 
nAKUSHAURI ACHANA NAYE ANAWEZA KUKUAMBYKIZA MARADHI AU NI MCHEZO YEYE NA MUMEWE WAKUFUMANIE NA WADAI MIMBA NI YAKO NA JE KAMA KAACHWA UNAJUA SABABU YA YEYE KUACHWA ?
 
nAKUSHAURI ACHANA NAYE ANAWEZA KUKUAMBYKIZA MARADHI AU NI MCHEZO YEYE NA MUMEWE WAKUFUMANIE NA WADAI MIMBA NI YAKO NA JE KAMA KAACHWA UNAJUA SABABU YA YEYE KUACHWA ?

nashukuru sana
 
Janamke lina watoto watatu likielekea kupata wanne bado unalitamani tu..
 
maamuzi haya yamekuja baada ya yeye kujitapa kuwa mimi ni mwanaume suruali
ndio nikapanga date of game

Mwanaume usiyumbishwe na Ego... huo mtego wa kukumaliza.. anakuita mwanaume suruali, yeye angekuwa mwanamke wa kweli si angekuwa na mume wa kumgegeda... she should go to hell
 
Dunia ya leo hakuna cha bure! Ningekuwa mm tunaelewana kbs kama ni bure nitampa buku 20,
Kama ananiuzia ataje bei au masharti yake! La sivo bei yake yaweza kuwa ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…