Huyu mjamzito nimsaidiaje?

^^
Unataka nani ahalalishe uzinifu wako ili akahesabiwe ukosefu sawa na wewe?
Chagua ubaya kwa majuto yako mwenyewe kwani ninajua unafahamu kuwa unaloenda kutenda si jema.
^^
 
Ushasema katoswa na mumewe hujui anachotaka huyo baba? Utatwishwa majukumu halafu urudi hapa kulia lia
 
duuu kuna ushauri nilitaka kukupa bt baada ya kumalizia topic kumbe kesho ndio unapga gemu bas ckilza huu

wewe nenda kapige game tena simamia shoo coz inaonesha mbali na huyo dada kukushawishi hata wew ulikuwa ukimuwinda na ucjue utampataje

sasa kazi ni kwako kama utatumia dawa ya penz au utaogelea bila mwamvul kaz ni kwako nategemea uje na majibu ya jinsi gan ulivyoenjoy game na mama mjamzito
Over!!
 
^^
Unataka nani ahalalishe uzinifu wako ili akahesabiwe ukosefu sawa na wewe?
Chagua ubaya kwa majuto yako mwenyewe kwani ninajua unafahamu kuwa unaloenda kutenda si jema.
^^

kufanya mapenzi sio tendo jema?
Mkuu yatakutokea halafu utashangaa
 

nitarudi
ila kama unaniacha napotea vile!
 
kufanya mapenzi sio tendo jema?
Mkuu yatakutokea halafu utashangaa

^^
Tatizo ni kuwa hujajitambua ama unafikiri kila mmoja JF ana kiwango cha kufikiri sawa na wewe!
Hebu niambie sasa,
1. HUYO NI MKE WA MTU AU LA!
Je kuachana kwao kunakupa kibali cha kulala nae hapo kesho?
2. UNAJUA MADHARA YA SPERMS KATIKA MIMBA ISIYO YAKO?
Na je mtenda hatendwi?
3. ULIMTENDEA WEMA WA SIMU NDIYO
Je hakuna njia nyingne ya kulipwa hisani tofauti na wewe kufunua uchi wake?
Mwisho, umepanga kukutana nae kingono kesho tena kwa hiari yako, halafu unataka kuhalalisha uzinzi kwa neno tu la 'hayajakukuta'
Usinitakie mabaya ikiwa Mungu kanipa uwezo wa kushinda majaribu yaliyo ndani ya uwezo wangu
^^
 

mkuu ngoja nikufafanulie:
huyu dada kutokana na jinsi alivyokua akitumia simu yangu kuwasiliana na jamaa yake niligundua jamaa hana tena muda na huyu dada.,
dada aliumia sana tena sana kwa kuwa na ujauzito wa miezi mitatu na kuacha ila MIMI NIMEKUWA NIKIMFARIJI KWA MANENO mazuri ya kumpa moyo hapo nikaona anakolea tena kimapenzi kwamba na moyo mzuri na angefurahi kukaa nami
huoni kama nina ubinadamu moyoni!
 

^^
Usinilazimu kutoa uzoefu wangu juu ya wajawazito na mapenzi ya wanawake wenye watoto wengi kwa mabwana tofauti bila sababu!
ENDELEA MBELE NA UBINADAMU WAKO raha njema na uwe na utamu usioelezeka upaao kupita vilele vyote vya fahamu za mwanadamu.
^^
 

mkuu Himidini najua unauzoefu na wajawazito ila huenda kwa wanawake walio tendwa na kumizwa mioyoni huna
ila mambo yapo
 
Last edited by a moderator:

nimekupata mkuu ika kusema ukweli jamaa yake yupo mkoa mwingine na hana
tena muda na huyu dada!
 
Muamuzi ni wewe kuvaa au kutovaa ,ila nakuona kama wewe ni mpore na wanawake wa sikuhz akijua we mpore kula gemu akuendeshe.
Kwa hofu yangu juu yako usile na kaa nae mbali atakuendesha

nashukuru mkuu
 

Huyo ni
1.mke halali wa mtu au la?
2. Ni mjamzito wa umri gani(umri wa mimba)?
3. Ushauri unaotaka ni wa nini kutumia kinga au kukutana bila kinga?Maana mmeshapanga hata siku ya Uzinifu.
4. Nini kilichofanya "akaachana" na mumewe?
5. Hiyo mimba/ujauzito ni wa nani(kulingana na maelezo yake)?

Sijaelewa kama ni mtu ambaye ana undugu na mpangaji wako ni kwanini atumie simu yako kuwasiliana na "mumewe" na simu siyo kutumia simu ya ndugu yake ambaye ni mpangaji wako?
Ukikutana kimwili, naye then akwambie kuwa hiyo ni mimba yako, au mara watoto wamekuzoea sijui ukae nao, utashangaa au utarudi tena hapa kuomba ushauri?

Bado nashindwa kuelewa inakuwaje "ametoswa" lakini bado anamuita MUMEWE?
 

Binafic natambua mungu kakujalia akili zilizo njema na zenye kutambua baya na jema hivo niwakati wako wakutafakali nakuchukua uamuz ulio xahihi. Tubadilike vijana """THIS IS NOT LIFE"""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…