Una pigo za kikuda we chalii.
Utakuja kupigwa pipe. Unaenda kumderee mwana kuwa ulimlaza manzi yake kwa style kede? Utageuzwa.
Machalii wana shingo. Naona huko dasalale wamekuminyia pigo za kidada, umbea.
Chunga fala wewe.
Kunae mawaki wananiona soro aseeRafiki yako ndiye mwenye makosa,anajua una mahusiano na mtu fulani na yeye akaona ajiweke hapo hadi akaoa aseee!!
Hata ningekuwa mimi nikikutana nae siku namkumbusha vile nilikuwa namla mke wake...ubaya ubaya tu 😂
Rafiki yako ndiye mwenye makosa,anajua una mahusiano na mtu fulani na yeye akaona ajiweke hapo hadi akaoa aseee!!
Hata ningekuwa mimi nikikutana nae siku namkumbusha vile nilikuwa namla mke wake...ubaya ubaya tu
HahahaNi rahisi soma kwenye mabano arif
Chugastan slangKuna mtu kaelewa hii lugha iliyotumika kwenye hii thd?
Asee mkuu rudisha basi jina lako la awali kwenye ID ariffWe mduwaka wa Sing'isi
Angalia msijepigana mabeto arifu ila acha izo pigo jamaa yako hapendi.Soo lomoni aride. Mimi namchana jomba kuwa huyo alomweka ndichi mimi nishagawai mtofomba kikuzi ananiletea wenge
jifunze kutumia lugha ya kiswahili vizuriIko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio tukawa mbali kidogo ila zile likizo tunatembeleana maana tunaishi kitaa kimoja na familia zetu ni family friends.
Sasa wakati nimemaliza six na yeye kamaliza mimi chuo Dar yeye Moshi. Ila pia tukikutana likizo gudi tu. Kuna manzi mtaani alikuwa yupo sekondari nikawaga namkula (jamaa yeye alikuwa sio mtu wa mamanzi).
Kuna time nipo chuo Dar yeye akiwa Moshi anafika Chuga rahaka kuna jamaa yetu mwingine ana manzi wake ni rafiki wa hii kitu yangu sema huyu jamaa mwingine yeye alikuwa mtu wa kwena safina sana (kwenye maombi) wakati mimi ni muuni tu.
Sasa akamvuta huyu mshkaji (yule wa mwanzo) wakaanza kwenda nae na manzi wake (manzi wa huyu mjamaa mwingine). Kwakuwa yule manzi wangu alikuwa karibu na manzi wa jamaa basi nae wakamvua huko wakawa wanaenda wanenne. Muda yule mjamaa akiwa na manzi wake inatokea yule mchizi wangu (wa mwanzo) anabaki na manzi wangu mpaka wakaanzisha mahusiano.
Ubaya mchizi alikuaga ananiomba ipad apige picha halafu anapost facebook (miaka hiyo) so naziona na naona kuna ambazo mselaa (yule wa mwanzo) yupo na mrax wangu (manzi angu) nikawaleteaga cheche (noma) ila mselaa akaniambia manzi (yule mrex wangu) kamwelewa so sina chakufanya.
Nilipokua chuo nikapata mbishe (kazi) flani Dar so sikurudi Chugga (Arusha). Mjamaa akaendelea kuwa close na mamsii (manzi wangu). Ilifikia time mamsii akakata mguu (mawasiliano) na mimi na baada ya two years kumaliza unii (chuo) nikajasikia mjamaa amechumbia huyu mraksi (mamsi wangu).
Punde akamuoa asee. Niliumia kidesign (kimtindo/kiasi/kidogo) ila baadae nikasema potelea mbali.
Sasa shida ipo kuwa siku za usoni naonana na mjamaa namwambia "nilimgonganga mkeo zamani kishenzi mastyle yote" jamaa anamind kishenzi. (Simuambii kwakuwa mamamsi hawagongwi ila kwakufa alinifanyia unyambisi/umafia/unyamera).
Je hapa nani yupo sawa wakuu?
Mpotezee muache ainjoy life na mkewe au bado unamtaka huyo ke?Mi siezi pogana paru na huyo waki. Kwanza hata njaro zake naziona za kigasho tu mtu hatupii hata shada wala gambe.
Mke wa mtu sumu mkuuSio kwamba namtaka ila ikitokea chance siezi acha