Huyu dada simuelewi

🀣🀣🀣Hujamalizia,Kwa hiyo ukafanyaje?ukampa au ukakemea pepo?
 
🀣🀣🀣Hujamalizia,Kwa hiyo ukafanyaje?ukampa au ukakemea pepo?
nilipata hofu kuu na lakini ghafla,
nikajawa na Roho mtakatifu na nikawa jasiri kupindukia, huku nikikemea kimoyomoyo nikamjibu kiungwana kabisa -Pole, Sina....

akalegeza shingo upande moja kwa smile lile lile, akimaanisha kukubali pole na sina yangu kwa shingo upande.....
akaendelea alikokua anaenda...

huku nami nikiendelea kukandamiza maombi ya nguvu na kukemea, nikitembea bila kugeuka nyuma kuelekea nilipokua nimepaki starlet yangu ilioyonitoa kimaisha πŸ’
 
Dah,huu mji una mauzauza sana,zamani nilikuwa naamini katika kusaidia wahitaji ninaokutana nao,ila saa hivi nimekuwa na roho ngumu sana,yaani mpaka niguswe kwelikweli yaani maana mambo ni mengi
 
Dah,huu mji una mauzauza sana,zamani nilikuwa naamini katika kusaidia wahitaji ninaokutana nao,ila saa hivi nimekuwa na roho ngumu sana,yaani mpaka niguswe kwelikweli yaani maana mambo ni mengi
ni pagumu kidogo,
waombaji misaada wengi hawaaminiki, wanawatia hofu watoaji πŸ’
 
ni jini hilo, umelinunulia chipsi za kufuturu. mwezi huu majini mengi nayo yamesambaa, na yamefunga. wanaoyafuga wanajua hilo. jiandae usiku litakuja.
 
ni jini hilo, umelinunulia chipsi za kufuturu. mwezi huu majini mengi nayo yamesambaa, na yamefunga. wanaoyafuga wanajua hilo. jiandae usiku litakuja.
Alikula pale pale na ilikuwa saa kumi kasoro jioni; na je, nisingemnunulia kungetokea nini?
 
We bwana umejirahisisha sana dah umetufedhehesha wanaume we hata kukaza kidogo mambo gan haya mbavu
 
Kaka kaka kama humuelewi huyo mdada wewe chonga na mzizimkavu tuu inatosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We bwana umejirahisisha sana dah umetufedhehesha wanaume we hata kukaza kidogo mambo gan haya mbavu
Wanasema si vizuri kumuacha binadamu mwenzako afe kwa njaa, huku ukiwa na nafasi ya kuweza kumsaidia. Ni sawa na kuchangia mazishi kwa gharama kubwa, huku wakati wa kuuguza ulishindwa kuchangia ata panado.
 
Kaka kaka kama humuelewi huyo mdada wewe chonga na mzizimkavu tuu inatosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa sababu niko salama mpaka sasa hivi; inawezekana alikuwa muhitaji wa kweli kwa muda ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…