Ni wewe nini huyo mtu :becky::becky:kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
NAKUSHAURI TU:
Kama unajihisi mpweke na unaogopa kulala pekeyako basi lala na njaa..!!!!G9T
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
He he heAvatar tunajiwekea tu!!!
Mimi m/me Wewe jinsia gani?
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
He he he
This is not normal!
Kama vipi angejipigia mbunye ya bure hiyo!
Hainingii akilini! Huyu jamaa kama si.. Atakua anampigia promo ndugu yake! Afu inavyoelea halipi wala nini!!!!!
mwana jf gani mdananda!sasa kelele za nini wakuu we ni pm ujihakikishie taarabu zote mipasho ya nini,nimeeleza mimi nimeagizwa tu na kama hutaki tulia ulale mtu wangu si lazima wakuu,mimi nimeahidiwa donge nono wakuu kwaiyo utani uwekwe chemba kidogo alaaaah.
Ni wewe nini huyo mtu :becky::becky:
Jf raha sana.inawezekana, maana yeye kuwa rafiki wa yeye mwenyewe inawezekana atii...