TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
No Need! Nimeweka Record tuKumuonyesha wewe ni zaidi yake mtumie masela wambake
Ukimuona mwanaume anavaa mashati ya kubana mwili sijui wanaita bodi suti ujuwe hapo mtoto si riziki huyo.Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.
Harold Philemon 7 hours ago
"**** this GAY...! Hivi vyombo vya usalama vya hii nchi vinafanya kazi gani.? Rais anatukanwa hadharani hivi na pumbavu huyu mnaangalia? Iko wapi intelligence ya hii nchi? Dignity ya mtu tunayemwamini inashushwa kijinga hivi na mpumbavu mmoja and you are watching? SERIOUSLY? TCRA nanyie mpo? Dah im fed up kwakweli kwanini hali iwe hivi jamani nanyie mpo???? Mnatumia kodi zetu vibaya.. watu kama huyu anatakiwa afie hukohuko huku mtuletee mwili tu wa marehemu shwain huyu"
View attachment 735297
View attachment 735299
Good, Huyu Alivisit Channel yangu Youtube, Ambapo Nilidebate Kuwa Rais Magufuli Hachukiwi au Kupingwa kwa Ujenzi wa Taifa au Kwa Mema. Nikaonyesha Mambo ambayo yanafanya wanaompinga Wampinge. Sasa Hakuwa na Hoja ya Kunichallenge, Najua saa Nyingine Presentation yangu Inakera kwa Kuwa napenda Kuongea Kama Nilichosema ni Final, Hiyo ndio style yangu. Wako wanaonitukana Matusi ya Nguoni, Nachofanya Nafuta zile Coment zenye Matusi yanayogusa Viungo vya South Kwa Butelezi. Ila Matusi Mengine Kama Mbwa Wewe, Mvuta Bangi wewe, Jinga wewe, Nawaacha wacomment. Na wapo wanaojibu kwa hoja. Ila hili limenionyesha Kuna Tatizo Kuwa ati Kulinda Usalama/Amani Ni Kuua Mpinzani au anayepinga. I dissagree!Inawezekana nikawa sijaelewa, hebu elezea chanzo cha yy kufika hatua hyo ya kutafuta usalama wa nchi, weka maneno /matusi anayosema ulimtukana Rais ili binafsi niyapime uzito kisha nipate cha kukomenti kuhusiana na huyo anayetaka uuliwe.
Naishia hapa ili nisikose lakusema ushahidi ukija
Tatizo Watu Wanajifanya Wanajificha, Ndio Maana Mimi Mtandaoni Naweka Jina Langu Live! Kama Namuudhi Mtu ajue Kabisa Ni Mimi. Hakujua Nikitaka Naweza Pata hata Jina la Bibi yake Mzaa Babu!
Ubuntu !!Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.