last yr nilimpata bint1 nikadum nae kwa mda wa 2mth akasema hahitaj tena kua nami kisa cjib sms kwa wakat japo niko online nikamsih coz ov bze na job hakunielewa tuka achana bt last wk kaanza kunipigia cm sms za mahaba na mipango ya kimaisha kibao mara naitwa mme wangu, cjui analengo gan kwangu wana jf
Lengo ni lile lile kukutesa kiakili na kujua jinsi ulivo mdhaifu...! Kama ulimpitia tupa kule but kama haukumla basi ni mda mzuri sana wakukamilisha mipango..! But huwezi jua ana mawazo mema au mabaya juu yako mpaka aamue kurudisha majeshi
kweli kipofu hawez kumwongoza kipofu mwenzie lacvyo wote watatumbukia shimoni