The-Gladiator
Member
- Mar 21, 2019
- 21
- 7
una miaka mingapi
27 sio mbaya saana kuandika uzi kama huu, watafune tu mkuu we usijiulize kama unapendwa,tafuna27
Careless whisper
Asante, FeliAnakupenda Uyo sema mwanzoni Labda alikua hajafanya maamuzi na halmashauri ya moyo wake
pia zinaweza kua vurugu tu [emoji23] so Akili kichwani mwako
Mhh , kutafuna sana si sahihi pia, inabidi kuwe na kiasi.27 sio mbaya saana kuandika uzi kama huu, watafune tu mkuu we usijiulize kama unapendwa,tafuna
Mkuu kweli wewe umewekeza au kaka yako kakupa usimamie miradi.yake tu.Hello,
Kuna mdada fulani matata, vichuchu vidogo vzurii, kwa mbaal nyuma kumebinuka, rangi ya mitume, anaongea kwa umakini mno, akitembea harushi vumbi kama wadada wengine,yaani kifupi n mzuri kama mchele wa mbeya,
Siku ya kwanza kuonana nae nilienda kwao, dhumuni la kwenda kwao ilikuwa nmeenda kumuona mdogo wake ambae nimemuajiri sehemu kati ya moja ya uwekezaji wangu, basi nmefika kwao nilikuwa very smart kama mnavojua wanaume huwa hatufanyi makosa katika sekta hiyo.
Basi kuanzia hapo ndipo mazoea yakaanza, mzee sikumchelewesha nikamgegeda kwa ufundi ulipitiliza japo alikubali mapema mno ombi langu la sex,
Baada ya tendo tu tulpoachana akawa amekaa kimya, kama hakijatokea kitu, basi mawazo yakajaa kumkichwa nikahisi labda niliharibu show, lakn record zinanibeba sijawahi hata kudraw mechi yoyote si nyumbani si ugenini, nikaona wacha nikaangalie afya nikajikuta npo fiti,
Siku zkaenda akaanza kuniita rafiki badala ya mpenzi, nikimuhoji anazunguka nikawa nampotezea nikikaa kmya ananitext,
Asa mm ile hali iliniboa nkamwambia from nw on tuwe marafiki wa kawaida, lakini tangu tuwe marafiki ananpigia sana simu hasa usiku na hapendi kumalza maongezi, pia amekuwa ananambia sana siri zake,
Siku moja nkamuweka mdada mmoja WhatsApp alinimind sana, nkambadilikia nkamwambia ww n nan yangu mpaka unamind ?! Akapoa then akaniomba radhi, mpaka sasa nashindwa kumuelewa huyu mdada,
Wakuu, ivi huyu Dada ananpenda au vurugu tu ??.
Karibuni.
Careless whisper
Duh, sinitamuua ?! Sex sio vita mkuu.Ulipomgegeda hakufika mlimani
Ndio maana hakushobokei Sana
Piga Show ya nguvu alie Hadi chozi lakauka
K yapata Moto siku tatu aweka barafu
Ikipoa tu anakwita
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama ndomu inatumika hakuna tatizoMhh , kutafuna sana si sahihi pia, inabidi kuwe na kiasi.
Careless whisper
H ha ha ha H, mkuu nipe mchango wako..!Mkuu kweli wewe umewekeza au kaka yako kakupa usimamie miradi.yake tu.
Unaziamini condom ?!mkuu kama ndomu inatumika hakuna tatizo
Uwekezaji rahisi sana kuna wauza kahawa za miamia wameajiriwa na wawekezajiMkuu kweli wewe umewekeza au kaka yako kakupa usimamie miradi.yake tu.
Hilo swala ni gumu kwetu kung'amua kama anakupenda au niaje kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah mkuu, zinaaminika unless uwe unawagegeda kwa fujo, ila ile ya ki boss safi tuUnaziamini condom ?!
Careless whisper
Wangu kidogo n mkubwa.Uwekezaji rahisi sana kuna wauza kahawa za miamia wameajiriwa na wawekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sex sio vita ila watoto wa siku hizi wanataka kusuguliwa Hadi ziwake motoDuh, sinitamuua ?! Sex sio vita mkuu.
Careless whisper