mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 809
- 818
Mtumie wachawi tumpimeHabar ya asubuhi JF
Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI
Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!
Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu,
Wanatumia matatizo ya watanzania kupitia kwenye Dini ili kuwatapeli.
Kabla hajafika mbali hujamaa anatakiwa apigwe pinya maana.
Ahsante
Ni Mganga wa Kienyeji na Tapeli Tukuka anayelindwa na Wakubwa Wawili Waandamizi katika Awamu hii.Habar ya asubuhi JF
Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI
Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!
Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu,
Wanatumia matatizo ya watanzania kupitia kwenye Dini ili kuwatapeli.
Kabla hajafika mbali hujamaa anatakiwa apigwe pinya maana.
Ahsante
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine saiv matapeli wameangukia kwenye kinvuli cha dini yan anafanya utapeli wa wazi kabisa ila wajinga hawaishi wacha wapigweHabar ya asubuhi JF
Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI
Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!
Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu,
Wanatumia matatizo ya watanzania kupitia kwenye Dini ili kuwatapeli.
Kabla hajafika mbali hujamaa anatakiwa apigwe pinya maana.
Ahsante
Nilijua ni mchawi tu, kumbe ni mganga kabisaNi Mganga wa Kienyeji na Tapeli Tukuka anayelindwa na Wakubwa Wawili Waandamizi katika Awamu hii.
Hata mm mwenywe nilijuwa kbsa huyu jamaa Ndio mchawi mwenyeeweUkute wewe ndiye mchawi, umechapika viboko mpaka unaomba msaada wa serikali.
Na uchapwe tu.
siku hizi waganga wa kienyeji wameji modify na ku advance katika uganga wao ili kudhibiti soko lao lisipotee. Wameji brand kuwa watu wa dini ili waaminiwe zaidi wakati wanaonekana wazi wanatapeli kama kawaida yao wenye shida na matatizo. Ni wapuuzi, walidhani wakilitaja jina la Mungu watu watawakimbilia wakiawaamini ni watumishi tukuka wa Mungu kusaidia wanadamu kutoka kwenye shida zao. Wamejipachika majina ya utukufu ili kutapeli watuNi Mganga wa Kienyeji na Tapeli Tukuka anayelindwa na Wakubwa Wawili Waandamizi katika Awamu hii.