Huyu anaweza kuwa rais

Why not? Most of good leaders are coming from this type of life. Tena huyu atakuwa na uchungu sana na nchi yake tofauti na yule anayerithishwa uongozi kama familia ya kifalme
 
see him after 45 years huta amini
Tatizo shuleni walimu wanagoma hospitalini wanagoma polisi wanabambika kesi vyakula feki dawa feki kweli atatokea wapi?
 
Mkatofa, hilo pozi akiendelea nalo atakuwa kama................. wa kutabasamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…