simba ataendelea kuwa simba tu. ila ucsahau kutugei update pleaseWakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia
...najiuliza maswali uyu dogo ni vip huu umaarufu kias hiki?
Na uko kasulu mjini napoelekea nasikia ndyo hatar balaa jinsi anavozungumziwa, apa saiv kuna watu wanabishania kwamba 'kigoma mjini watu ni wengi na ukute matiket yashaisha'
Nimeshindwa kuaplod video ya nlichokieleza mana network kdg ni shida sababu hali ya hewa, haiko poa....
Big up sana dogo mondi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kumpelekea zawadi za migebuka na mawese boss.Nilikua sina mpango wa kwenda ila kwa vibe liloko mitaani itabidi keaho nitimbe namimi..
Nitakua najisumbua maana kuna picha nimeona mama yake anatengeneza mawese
Diamond ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa burudani Afrika...Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia