Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

Mkuu kwa nini usisome na mbele??? Naona unapenda sana nyuma. Anyway, huu uzi umo humu miaka mingi sana na una maelfu ya comments. Toka enzi za Malaria Sugu
 
1. hata mbuyu ulianza kama mchicha
2. bora kukosea kujenga kuliko kukosea kuoa
3. Boss anuniwi
4. Jirani haonjeshwi
 
Ehehe umenikumbusha kitu
Mtu kaandika hivi
Plan of god,akimaanisha
Mipango ya mungu lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…