Huu wimbo unanikumbusha mbali sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,568
Reaction score
53,583
Jameni hawa vijana hawa!!!
Yaani wale wasioelewa maneno ya huu wimbo watakua vitoto vya leo......
Eti enzi za sukari nguru, TV kwa jirani, Amita Bhachan...hehehe huu ubunifu dah

He heeee, Hapo umeita wenye timu zao!
 
Jameni hawa vijana hawa!!!
Yaani wale wasioelewa maneno ya huu wimbo watakua vitoto vya leo......
Eti enzi za sukari nguru, TV kwa jirani, Amita Bhachan...hehehe huu ubunifu dah

Sukari nguru au Sukari guru mkuu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…