African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 85
- 211
Wewe ni mpuuzi hao Al Ahl nao si walifungwa na yanga kwao.Rubbish,ndio mpigwe kwenu na AL Ahli Sudani??
Simba hii hii mnayoiona sio nzuri isingefungwa na hao abadan
Sasa kwa makelele mliyokua nayo juu ya ukali wa timu yenu unaona ni sawa kutolewa makundi sheitwan wewe?Wewe ni mpuuzi hao Al Ahl nao si walifungwa na yanga kwao.
Kwanza ni lini mlishawafunga hao Al Ahl bwana kolo
Ukweli mchungu.Ndugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience players wliokua tayari wamecheza fainal za makombe ya CAF, walikua na Yanick mbagala, Juma Shambani, Tusila kisinda hawa wote wlikua wameshacheza fainali za CAF.
Sasa ndugu zangu ubaya ubwela wachezaji wenu fainali walizo cheza ni ni kikombe cha mapinduzi na muungano mtatoboa kweli, narudia huwezi kucheza fainali za CAF na wachezaji kama kina Mkwara, Kibu Denis, Ateba na mpanzu hata hapo mlipofika mmejitaidi sana.
Robo fainali ndio kikombe chetu wazee wa ubaya ubwela a.k.a mbuzi fc
Sio kombe la kina mama tena?πππNdugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience players wliokua tayari wamecheza fainal za makombe ya CAF, walikua na Yanick mbagala, Juma Shambani, Tusila kisinda hawa wote wlikua wameshacheza fainali za CAF.
Sasa ndugu zangu ubaya ubwela wachezaji wenu fainali walizo cheza ni ni kikombe cha mapinduzi na muungano mtatoboa kweli, narudia huwezi kucheza fainali za CAF na wachezaji kama kina Mkwara, Kibu Denis, Ateba na mpanzu hata hapo mlipofika mmejitaidi sana.
Robo fainali ndio kikombe chetu wazee wa ubaya ubwela a.k.a mbuzi fc
Nyinyi mmefikia wapi. Toa uchambuzi pande zote wewe chura FcNdugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience players wliokua tayari wamecheza fainal za makombe ya CAF, walikua na Yanick mbagala, Juma Shambani, Tusila kisinda hawa wote wlikua wameshacheza fainali za CAF.
Sasa ndugu zangu ubaya ubwela wachezaji wenu fainali walizo cheza ni ni kikombe cha mapinduzi na muungano mtatoboa kweli, narudia huwezi kucheza fainali za CAF na wachezaji kama kina Mkwara, Kibu Denis, Ateba na mpanzu hata hapo mlipofika mmejitaidi sana.
Robo fainali ndio kikombe chetu wazee wa ubaya ubwela a.k.a mbuzi fc
Kila jambo lina mara ya kwanza. Hata hao kina Bangala unaojisifu nao hawakuzaliwa wameshacheza fainali.Ndugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience players wliokua tayari wamecheza fainal za makombe ya CAF, walikua na Yanick mbagala, Juma Shambani, Tusila kisinda hawa wote wlikua wameshacheza fainali za CAF.
Sasa ndugu zangu ubaya ubwela wachezaji wenu fainali walizo cheza ni ni kikombe cha mapinduzi na muungano mtatoboa kweli, narudia huwezi kucheza fainali za CAF na wachezaji kama kina Mkwara, Kibu Denis, Ateba na mpanzu hata hapo mlipofika mmejitaidi sana.
Robo fainali ndio kikombe chetu wazee wa ubaya ubwela a.k.a mbuzi fc
Usimcheke huyo πΈ kaandika huku anakunywa supu ya tembele huko unyanyembe ππKwa hiyo wewe unaweka nukta baada ya aya nzima na siyo baada ya sentensi?