Kuna vikombe vingine sio vipya, ni vile vile vya miaka yote. Ni wakati wa kuangalia hatua nyingine kubwa zaidiHuyo ni mpumbavu hajitambui, kwanza ana gundu, tangia amekuwa msemaji wa makolo hawajawahi kushinda hata kikombe cha uji !
Anayajaza makolo ujinga na yenyewe yanajaa ! Wasicheze sasa kama wana ubavu huo
Badilisha Tecno yako kwanza.Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi
Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa ni tamko la timu 48 za ligi za TZ...hivyo akaliita ni tamko la HOVYO na ni batili ( invalid) since ni la timu Moja[emoji23][emoji23]
Note: Ahmed ally hakujua kuwa some times huku Yanga ... kidole kimoja kinavunja chawa[emoji23][emoji23]View attachment 3370857
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Badilisha Tecno yako kwanza.
Awambie Yanga kama alivyo waambie wiki iliyopita watangaze viingilio na asiache kuwahamasisha mashabiki wa timu yake. Alikuwa anatushia kujamba wakati,timu yake inatatizo la kuhara.Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi
Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa ni tamko la timu 48 za ligi za TZ...hivyo akaliita ni tamko la HOVYO na ni batili ( invalid) since ni la timu Moja[emoji23][emoji23]
Note: Ahmed ally hakujua kuwa some times huku Yanga ... kidole kimoja kinavunja chawa[emoji23][emoji23]View attachment 3370857
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
aliepost ni Oscar SIO YANGAUtopolo mna matatizo sana.
Swali ni Je au Mr kispika Hana bundleHivi hii signature huwezi kuitoa
Kweli mkuu... Kwann Mr kispika yupo kimyaUtopolo mna matatizo sana.
Ila kispika yupo kimya sanaSasa ni zamu yao na wao kukemea maamuzi mabovu ya marefa sio kila kitu Yanga apiganie peke yake
Wana Pwenti tatu zetu[emoji23]Huyo ni mpumbavu hajitambui, kwanza ana gundu, tangia amekuwa msemaji wa makolo hawajawahi kushinda hata kikombe cha uji !
Anayajaza makolo ujinga na yenyewe yanajaa ! Wasicheze sasa kama wana ubavu huo
Je Mr kispika yupo wapMkibwabwaja nyie inatosha
Huu ni mtambo mzeeBadilisha Tecno yako kwanza.
Hata wasipokuja .... Pwenti tatu zetuAwambie Yanga kama alivyo waambie wiki iliyopita watangaze viingilio na asiache kuwahamasisha mashabiki wa timu yake. Alikuwa anatushia kujamba wakati,timu yake inatatizo la kuhara.
Hawa tarehe 24 hawatoenda kufanya mazoezi,watakuambia Yanga wameweka vitu.