Ni suala la kuikataa hali hiyo.Mgfano woga mwingi unaletwa sana na kutokuwa na maandalizi au kutokuwa na uhakika na kile unachotaka kukisema,lakini pia jitahidi kufanya mazoezi wewe mwenyewe mfano kwenye kioo au na sehemu nyinginezo.Kwa uzoefu wangu,suala la kutojiamini linasababishwa na historia yako(background)na pia kukosa exposure katika mambo mengi,na pengine malezi uliyopata utotoni.