Huu ni "WIZI MTUPU"......!

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Wadau, ni majuzi tu kulikuja greda kutuhadaa sisi wakazi wa "Yombo - Buza" kwqa kumwagia kifusi barabara ili ijulikane imekarabatiwa lakini kwa maoni yangu naona kama wametutania maana sasa hivyi ndyo imekuwa mbaya n mashimo na vumbi ndyo usiseme...

Hivyi kama wanataka kutuhadaa kwa campain za chini chini, c mara kumi waweke atlist lami nusu? Kwa kweli imekuwa karaha...
 
 
kwani hujui kwamba uchaguzi wa madiwani umekaribia.barabara nyingi tu zimeongezewa vumbi hapa dar.hata sisi kigila gila mambo ni hivyo hivyo
 
Pale nyuma ya fire (DSM) wamekwangua lami iliyokuwepo na kutuachia vumbi.
 


Kwa kweli inasikitisha sana maana mvua zikianza ndy itakuwa balaa.
 
Pesa zinatafutwa. Waweke lami ziishe. wanachofanya ni changa la macho alafu isemekane walitengeneza barabara.

Kweli kama inayosemekana, mwaka huu tutaona mengi. si unajua tu msemo huu "Study the past if you would divine the future"
 
kwani hujui kwamba uchaguzi wa madiwani umekaribia.barabara nyingi tu zimeongezewa vumbi hapa dar.hata sisi kigila gila mambo ni hivyo hivyo



Hizo ndio mbinu za mbunge wenu fisadi Mahanga; anawapiga dongo la macho nanyinyi mlivyo wachovu mtamchagua tena ingawaje miaka kumi sasaimepita Kipawa bado hamjalipwa fidia ya nyumba zenu!! Miafrika ndio tulivyo kajisemea NN!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…