Habar wasaka tonge wenzangu .kama somo linavyojieleza, nliomba kaz kwenye kampuni moja kubwa hapa nchini kuptia kwa wakala wa ajiri( recruiters agents) sasa wameniita kwenye usail ila wametaka nitume kiasi cha shilling 10, O00/= ili nijaze wanitumie fom na kuahid watanirudishia pind nitakapo hudhuria ...Je ni kweli au ni matapeli? Nawasilisha.
Usitume hiyo hela other wise imekushinda kula au hauna matumizi nayo! ni bora ukatoe sadaka jumapili kisha uinenee na bwana atakubaliki na kazi utapata. Hao ni matapeli ndugu na wengi wameibiwa tena zaidi ya hizo