Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,945
Muons dermatologist ufanyiwe skin test ikiwezekana wana Julia kipande kidogo cha ngozi kinapelekwa lab.
Inaweza kuwa aggressive fungal infection ambayo inahitaji kutobiwa kwa dawa za kunywa zizunguke kwenye damu.
mkuu nunua mafuta ya dill pakaaUgonjwa huu upo sehemu za siri , huwa unawasha ukijikuna baada ya muda kidogo unapata naumivu makali, Ngozi ya korodani kuna wakati inakakamaa NA kutoa magamba yaani kama nyoka anavyojitoa gamba NA yenyewe inakuwa hivyo hivyo ,Nimezunguka hospitality Dawa nyingi nimetumia bila kupona, Dawa nilizotumia zipo za vidongo NA za kupaka ambazo ni hizi hapa 1,Cephalexi-250m 2, Alerid, 3, Algic P. 4, Ampiclox. 5, Prednisolone. 6, GentrisoneCream. 7, VClotrimazole Cream. 8, Gentalane Cream , 9, Dermaquat Cream, 10. Candistat. 11. Terbifin-25 12,Flucan, 13 na Grencet. DAWA ZOTE HIZO NIMETUMIA LAKINI BADO, Huu ni mwezi wa NNE tatizo lianze, Madaktari wa ngozi tofauti tofauti nimewaona ndo walikuwa wakiniandikia hizo Dawa, Sasa mwenye kujua huu ugonjwa NA tiba Yake anielekeze, Ahsanteni
Dawa yake white field ya maji ya rangi ya kijani ukipaka jifumgie chumbani washa feni speed ya mwisho elekezea huko.Hiyo ni Pumb..u erosion
Mkuu ubarikiwe sana, Ninashukuru sanaHilo tatzo litakua kwenye mzunguko wa damu kwa kua limekua la kujirudiarudia tayar limekua sugu..hivyo basi unatakiwa kwenda hospital wachukue sample ya ya damu au majimaji na waangalie na aina gan ya fungus au bacteria anayeleta shida na wakupe dawa ambayo inatakiwa kuwa ni sindano pamoja na ya kupaka..kwa kpind hiki ukiwa unafanya matibabu jitaid kuacha sehem zako za sir zikiwa kavu yaan futa vzur ukitoka kuoga na ukauke kwan unyevu hujengea mazingira ya kukua tena kwa fungus hata kama utatumia dawa..NB.ustumie tena dawa ukifika mwambie daktar akufanyie culture au kipimo cha dam au au kpimo cha majimaji ya eneo husika..
Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
PamojaMkuu ubarikiwe sana, Ninashukuru sana