Huu ndiyo ukweli mchungu

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
CHADEMA , ACT WAZALENDO , CCM pamoja na CCM B wote wanajua, Mama Samia ni mpenda haki, amani na upendo na mwenye niya ya Dhati kabisa katika kuliunga Taifa moja la Tanzania lenye amani, umoja, upendo na Ushirikiano. Dictator alituvuruga sana, na sasa tuna furaha tele. Hayo mengine ni porojo za siasa

#Nanikamamama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…