Kitendo alichofanya naibu waziri maji Mh aweso kimenifurahisha sana na ni mfano wa kuigwa.nataka viongozi wa namna hii na sio wale wa kukaa ofisini wakipulizwa na ac tu.heko mh aweso
Kitendo alichofanya naibu waziri maji Mh aweso kimenifurahisha sana na ni mfano wa kuigwa.nataka viongozi wa namna hii na sio wale wa kukaa ofisini wakipulizwa na ac tu.heko mh aweso
Alilolifanya lina tija gani sasa katika maendeleo? Waziri ni master minder Wa wizara husika we need good policy and clear strategies of attainable goals in his ministry sio rubbish hizi na wewe unampongezaje MTU pale anapoigiza maisha halisi ya watz???do you think ana shida kweli ya maji nyumbani kwake anapoishi?