Yetu macho, Bajeti zenyewe hizo Fedha za maendeleo 10% na matumizi ya kawaida 90% ya bajeti. halafu hiyo 10% ikienda Halmashauri kwenye safari zake za yeye za kichama na viongozi wengine wanadai 3% ya mafuta, 7% inatangazwa ktk tenda za miradi, walioidhinisha mshiko huo kuja hal. wanataka 2% pia fedha zinatolewa Kwa kuchelewa ifikapo mwisho wa mwaka zilizorudi 5%. WAnanchi wanambulia taarifa za kufikishwa fedha, kutangazwa tenda na miradi isiyokuwa na viwango na fedha zilizorudishwa. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee