Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.

Labda kama nimeangalia vibaya lakini shambani kwangu ni mingi mno, wakati kama huu unatoa harufu fulani hivi ambayo inanikera hivyo mingi nimeikata lkn bado ipo tu ngoja jioni nifuatilie kwa karibu. Waweza kuta nina utajiri bali naukalia tu.
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.
Curry leaf tree kwa kiswahili fasaha unaitwa mvuje na kwa tanzania nimeiona sana maeneo ya unguja mara nyingi hutiwa katika chips za mihogo chauro za dengu na kwenye biriani, nimajani yenye harufu moja kali hivi hata ukipia karibu na mtihuo utaisikia harufu yake. Inapatika huku kwetu zanzibar tena kwa wingi sana