Ukinunua bei zao ziko included na ushuru, zamani zilikuwa cheap, baada ya wafanya biashara ya magari (show rooms) kuingia huko na Kuwa corrupt ma afisa wa TRA zimepanda, inafikia gari linashindikana kuuzika eti bei haijafikia lengo wakati zamani mtu wa mwisho ndiyo anapewa gari, labda upate gari lililopata ajari ndiyo linakuwa cheap.