Twende basi tukamtafute Husninyo.Yes I do!
Hivi kumbe ni Husyn, lazima atakubali maana alishawahi ninong'oneza anakuzimikia kiaina.
Wish u luck.
Husninyo kuja...jibu hizi tuhuma.....
Yes I do!
Hivi kumbe ni Husyn, lazima atakubali maana alishawahi ninong'oneza anakuzimikia kiaina.
Wish u luck.
Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
Hehehe!
Ukimuona wa nini, wenzio wanasema ntampata lini... Tuko pamoja Judgement!
Kililililililililiiiiiii! Wapi konnie akuje kunisaidia kupiga vigelegele...lilililiiiiiii,Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
big mama hata hunifichii siri jamani!!
Anafaa sana swahiba manake kakuopoa wakati wa shida, hehehe uporoto kachemsha!hahahaha! Swahiba nakupendaga hapo tu. Vipi shem wako mpya si anafaa eeh!
Kililililililililiiiiiii! Wapi konnie akuje kunisaidia kupiga vigelegele...lilililiiiiiii,
Atauwezea wapi konnie, hivi jana si ulimwona alivyogaragara wakati uporoto anampa ile talaka? Mi nilijua atazirai siku 3 lol..Nikifichie siri Judgy akate tamaa
utauweza ujane wewe sasa hivi??
Uporoto kuleeeeeeeeee
Judgement hapaaaa
Aiya aiya aiya
kili kli kilillili
kwa jicho la upanga ee
mwanangu msimuone
kimaso maso
Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
Anafaa sana swahiba manake kakuopoa wakati wa shida, hehehe uporoto kachemsha!
Mie hapa sibanduki, we nibebe lile dera lako jekundu na zile raba za kijani, usisahau bangili za njano na yale mahereni yako ya blue...Nshapiga kigele gele
ngoja nikavae dera, hii sketi inaniyima uhondo
lazima tujimwaye mwaye.
tena best man awe uporoto
lazima anywe sumu mwaka huu
We ushamkubali usiulize tena mabaya yake...hahahaha! Swahiba nakupendaga hapo tu. Vipi shem wako mpya si anafaa eeh!