Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Mke mwema hutoka kwa BWANA na apataye mke amepata KITU CHEMA...Lord God, thank you for your perfect plans for my husband. You are the source of his talents, dreams, and the opportunities that come his way. I pray that he would never take his eyes off of you. Give him a desire to please you with his goals and decisions, surrendering his life to you in every way.
Deepen my husband's faith to trust you even in times of frustration or disappointment. When he doesn't know which way to go, instruct his heart by your Spirit. Give him wisdom through your Word, and let him pursue righteousness above anything the world might offer.
Thank you for loving my husband and guiding him as he makes his way in this world. I praise you for your faithfulness—with you beside him he will not be shaken. Amen.
Nimecheka balaa, mbona mipasho unaiwezea sanaUwakute hawa wake zetu kina asha ndala ndefu...mamaaaaaaa. utaskia..mfyuuuuuuu umalaya tuu...hapo badala ya sala au dua inafuata RISALA ya mtaa na majiraninwote wanasikia.
badala ukae nyumbani hata watoto wakuone na kukjua baba yao mwanaume kiguu na njia utadhani umekula.miguu ya kukuu...
hilooo eti safari usiku huu...na naomba mungu hiyo gest unayoenda iunguwe moto ukimbie bila nguo dushe linaninginia....
mwana ukome ukomaeee mamaaaeee...ukikitembeza tuu na mie nakitembezaa...si unanijua vizuriii...
au unadhani kukuzalia hawa watoto wa3 ndio nsha zeeka...wee endeleza umalaya wako ndio utanijua.
Unajifanya mpambanaji halooo...
wasipambane kina bahresa na mengi mpambanaji uwe weweeee...hebu tulia hapa zetu dagaaa kuku tamaaa....huna lolote baba mpenda michepuko
Sasa hapo hata kama kuna baraka za mungu tayari ashandala ndefu keshazifutilia mbali malaika walonzi weshasepa unajiendea mwenyewe...
sio kukumbana na mazongo ya wanga njiani...mara kuruka mafusho ya washirikina njia panda...mara vyungu vimevunjwa njiani...hatareee sana.
[emoji23] [emoji23] hiki kichambo cha dada wa mwananyamalaUwakute hawa wake zetu kina asha ndala ndefu...mamaaaaaaa. utaskia..mfyuuuuuuu umalaya tuu...hapo badala ya sala au dua inafuata RISALA ya mtaa na majiraninwote wanasikia.
badala ukae nyumbani hata watoto wakuone na kukjua baba yao mwanaume kiguu na njia utadhani umekula.miguu ya kukuu...
hilooo eti safari usiku huu...na naomba mungu hiyo gest unayoenda iunguwe moto ukimbie bila nguo dushe linaninginia....
mwana ukome ukomaeee mamaaaeee...ukikitembeza tuu na mie nakitembezaa...si unanijua vizuriii...
au unadhani kukuzalia hawa watoto wa3 ndio nsha zeeka...wee endeleza umalaya wako ndio utanijua.
Unajifanya mpambanaji halooo...
wasipambane kina bahresa na mengi mpambanaji uwe weweeee...hebu tulia hapa zetu dagaaa kuku tamaaa....huna lolote baba mpenda michepuko
Sasa hapo hata kama kuna baraka za mungu tayari ashandala ndefu keshazifutilia mbali malaika walonzi weshasepa unajiendea mwenyewe...
sio kukumbana na mazongo ya wanga njiani...mara kuruka mafusho ya washirikina njia panda...mara vyungu vimevunjwa njiani...hatareee sana.
Jilan sielewiOur husbands are the leaders of our families and desperately need our prayers.Our words are meant to protect them, to lift them up, to encourage them and to help them become the men God needs them to be.
Huelewi nini jirani yangu?Jilan sielewi