Maisha ni kusaidiana Mama kaenda kazini baba analea na kupika na mama akirudi toka kazini itakuwepo kazi nyingine ya ziada asipoifanya na makofi anapata
Huruma ya nini? Yaani tumhurumie mtu mwenye kitambi, anakaa nyumba ya fensi yenye garden la kumwaga full freshi ea! hapo anatafakari huku amembeba mwanae jinsi atakavyojenga nyumba nyingine kwa ajili ya huyo mtoto. wewe unamhurumia!!??