tajiri wa mwanza
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 138
- 227
Wewe ndiyo unaroho mbaya kurudisha mzigo ulioshushiwa kutoka juuHabari hapa jamvini
Leo ktk shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nmeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nying karibu hata mil 20 pamoja na vitambulisho vya jamaa flan muhindi pamoja kulikuwa na madin mule kwa begi kiukwl nlivo funua beg niliteteka kwl nkarud paka geto kwa yf nkamwambia
Kwa kuwa yf kashika dini akasema tumrudishie mwenywe fedha haramu poa na mimi sijazoea kula hela za mtu kwa kuwa mule kwa beg kuna Id za jamaa ikawa rahis kumpata nkitegemea atanpa hata fedha kidog kwa utu wangu
Duuh nlivo kuana nae kwanza yko na police dah akanifata akakwapua mkoba kwa nguvu kisha akaangalia alipo maliza mbele ya mke wangu akaninasa kibaoo AF akanambia utakufa masikini mbwa wewe dah nlipigwa na butwaa ka dakka ivi mke Wang pia AF jamaa akaondoka bila kunipa hta kumi dah kwl
Habari hapa jamvini
Leo ktk shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nmeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nying karibu hata mil 20 pamoja na vitambulisho vya jamaa flan muhindi pamoja kulikuwa na madin mule kwa begi kiukwl nlivo funua beg niliteteka kwl nkarud paka geto kwa yf nkamwambia
Kwa kuwa yf kashika dini akasema tumrudishie mwenywe fedha haramu poa na mimi sijazoea kula hela za mtu kwa kuwa mule kwa beg kuna Id za jamaa ikawa rahis kumpata nkitegemea atanpa hata fedha kidog kwa utu wangu
Duuh nlivo kuana nae kwanza yko na police dah akanifata akakwapua mkoba kwa nguvu kisha akaangalia alipo maliza mbele ya mke wangu akaninasa kibaoo AF akanambia utakufa masikini mbwa wewe dah nlipigwa na butwaa ka dakka ivi mke Wang pia AF jamaa akaondoka bila kunipa hta kumi dah kwl wahindi wana roho mbya