marahaba totoshikamoo miss chaga
:shock:
sawa mkuu nitaachamiss chaga acha ukorofi....
Mwambie shemeji yako kuwa huna mipango na michepuko kwahiyo hata yeye mwenyewe huwezi kumwingilia. Lakini kuna jambo lingine hapo. Huyo shemeji yako mjanja inawezekana ni msagaji. Amemsaga huyo mkeo mtarajiwa kwa muda mrefu na ana mpango wa kuendelea kumsaga hata ukiwa naye, ndiyo maana anataka usije ukamletea mtu mwingine wa nne kwenye mnyororo wenu wa mapenzi.

Hii inaweza kuwa ukweli ndani yake. Tafakari...
Nimeanza kuchukua hatuna mkuu!
Sawa,wasi wasi wangu kama ni mtego na nikiuchuna inaweza kumpa picha mbaya mke wangu mtarajiwa kuwa inaweza kuwa mtego wao umenasa kimya kimya
Sbl uhone mwsho wake kua na kifua wwe
Huyu shem naye anataka mchezo ila we mgumu kuelewa. Watu humu wamekushangaa sana kwasababu hili jambo la kawaida. Si busara kumwambia mpenzio umetongozwa maana naye anatongozwa na siyo mara zote anakwambia. Hata kama hutaafiki kutoka naye basi meza.pini huna haja ya kumueleza mpenzo wako.