miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kwa sasa hana demu labda ... Lakini haina maana akishaoa ndiyo hata penda wala kupendwa.. Je akitongozwa atakuwa anaendelea kutoa taarifa?kwani yupo na mademu wengine tena? No sidhani jamaa anaonekana mtu safi....:frown:
halafu mkuu unawahi kuoa ila akili yako bado hajpevuka utateseka sana........... HIVI WANAUME WA SIKU HIZI UWANAUME WENU MMEUACHA WAPI?
kwa sasa hana demu labda ... Lakini haina maana akishaoa ndiyo hata penda wala kupendwa.. Je akitongozwa atakuwa anaendelea kutoa taarifa?
ndiyo maana nimekuambia ujapevuka kuwa 30+ hizo ni namba tu mkuu... jiulizeutaweza ishi na mwanamke ?...... ndiyo kasha kutumia shemeji akupime sijui kakuonaje kwanza .. kuwa makini na hiyo ndoa unayosema demu wako anahuruma sana.. vitabu takatifu inasema tuwe na kiasi,.. we unamwamke anahuruma zaidi? huoni kama pana shida?Mkuu nitake radhi niko na 30+ bado unaona nimewahi.
Nyie wanawake mkoje sijui tukiwapenda kwa dhati mnatuona kama sio wanaume tukiwa kama babu zenu mnatuona wanaume makatili
we toa tu taarifa ... ha ha hahaHahahaaaa mkuu naona unataka nitumie kanuni ya Siri sirini
haaa!
Wanawake wako na njia nyingi za mitego mkuu bora kuwa mjinga kuliko baadae niwe mpumbavu
ndiyo maana nimekuambia ujapevuka kuwa 30+ hizo ni namba tu mkuu... jiulizeutaweza ishi na mwanamke ?...... ndiyo kasha kutumia shemeji akupime sijui kakuonaje kwanza .. kuwa makini na hiyo ndoa unayosema demu wako anahuruma sana.. vitabu takatifu inasema tuwe na kiasi,.. we unamwamke anahuruma zaidi? huoni kama pana shida?
huoni kama kakuonea huruma atatoa madudu humo ndani?
juoni kama shida ndiyo inampelekea yeye kuolewa?
sasa kama kakutumia jua kuna uwalakini hakuamini.. pia shemeji anakuona unapenda mbunye sana
Watoto wa siku hizi wanawahi kukua vimo lakini akili zinabaki palepale.....
karibu tena mkuu... ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI...Dah!? Unaakili sawa wewe binti kuna point naiona hapo sikuwa nimeizingatia acha niwe ---- kwa kupiga kimya.
Ahsante kwa kunisaidia Miss chaga
Sawa,wasi wasi wangu kama ni mtego na nikiuchuna inaweza kumpa picha mbaya mke wangu mtarajiwa kuwa inaweza kuwa mtego wao umenasa kimya kimya
halafu mkuu unawahi kuoa ila akili yako bado hajpevuka utateseka sana........... HIVI WANAUME WA SIKU HIZI UWANAUME WENU MMEUACHA WAPI?
Da kweli kabisa anaoa lakini bado akili ndogo sana, mara ooo nikaseme kwa mke wangu ili tu uonekane we mzuri zaidi acha ujinga huyo shem wako mega kisela haimaanishi haumpendi mkeo, hio story yake ipindue to your advantage mega then unaoa unaempenda story kwisha
shikamoo miss chagaUsimweleze acha ujinga wewe.... Wanaume mmepewa kifua mkanyimwa manyonyo unafikiria ni kwa nini? Be a man acha maneno mengi .. Kama huna nia ya kumsaliti tulia wewe