Hunger Aid Africa

Braibrizy

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
29
Reaction score
548
Habarini za wakati huu wana jukwaa, leo asubuhi nmetumiwa email na hawa Hunger Aid in Africa lakin wameniagiza nitafute PAR certification , Nmejaribu kufuatilia nmeona ni email ileile ambayo imekuw ikitumwa kwa watu tofaut tofaut kwa muda mref sasa, je kuna mtu ana taarifa juu ya hawa watu au ni watu wanataka tu kupiga pesa..?
 

Attachments

  • IMG_4745.PNG
    80.4 KB · Views: 29
Matapeli Hawa mkuu
Ata mm walinitumiaga email na maneno haya haya relief for Africa
Nilichokuja kushtuka hao ma agent wakitoa hizo PAR wanataka dollar
Kuja kucheck nikagundua Ni matapeli tu mkuu potezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…