Hujuma nzito bandarini

Hizi ni propaganda za kipumbavu kweli kweli za kutaka kuwapumbaza wajinga wasiojielewa kuunga mkono huu uuzwaji wa bandari kwa waarabu wa mama Samia. Hell big NO! Hatumtaki mwarabu hata kwa dakika moja.
TICTS amekaa bandarini miaka 22 mbona bandari haijauzwa?. Mnapokuja na hoja za kupinga angalau ziwe na akili na ndani yake.
 
Hamna nafasi za kuhamia ?😎
 
Haya mambo yanachekesha sana, sasa hizo hadithi zinahusiana vipi na mkataba mbovu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…