Hujuma nzito bandarini

DPW wasijisumbue kuja TZ kuendesha bandari.Watasusiwa kama walivyosusiwa Net Solution kwenye kusimamia Tanesco.
Naona Kuna propaganda nyepesi kama hii hapa juu
Hiyo unaanzisha wewe, ndio naisikia sasa.
Ninachokisikia kitaa, Sa100 akipuuzia maji haya, yataleta mafuriko yanayoweza kumzoa hata yeye, kama sio nje basi pembeni kwenye kona ya aibu. Chungulia dirisha ku,e atokako Bibi lango, kunafukuta.
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu kweli kweli za kutaka kuwapumbaza wajinga wasiojielewa kuunga mkono huu uuzwaji wa bandari kwa waarabu wa mama Samia. Hell big NO! Hatumtaki mwarabu hata kwa dakika moja.
Mwarabu njoo uchukue bandari zote ueendeshe weeeeeee mpqkq tupate maendeleo kwa kuwa wezi wa kibongo wanaoongozwa na CHADEMA watadhibitiwa. Namlaumu sana Rais kwa kuwa speed ndogo sana kuruhusu uwekezaji wa DP WORLD. Mhe. Rais popote ulipo mimi kama mzalendo unanikwaza sana kwa kuwa na kasi ndogo ya kuruhusu huu uwekezaji muhimu sana. Nakuombea kwa ALLAH akujaalie kasi nzuri ya kunywa maji bila kujali kelele za vyura.
 
Mizigo itasafirishwaje kama kwa sas hivi miundo mbinu ya kuingia na kutoka bandarini ni finye na vikwazo vingi vya mizani na trafiki kusimamisha ovyo wenye malori wanaotoa mizigo?

Vunjeni numba zote zilizopo Kurasini , shimo la udongo, Kilwa road na ipatikane barabara ya ya mchepuo kwa matumizi ya malori ya mizigo pekee tofauti na hapo haiwezekani kuinua ufanisi wa bandari.

Bandari ya Dar Es Salaam kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni kina cha maji ya bahari huwa yamepungua hivyo kuwa kikwazo kwa meli kubwa kuingia bandarini kushusha mizigo je mtatumia miujiza gani kuchimbua kina kutoka Magogoni hadi bandarini bila kuathiri shughuli zingine za kiuchumi na kijmii zisiendelee?
 
 
Majizi ni CCM, bure unaowaonea Chadema. Kinana anapitisha mizigo bila kulipia ushuru. Mama wa kambo hata ukimwombea kwa Allah ni bure.
 
Wacha waende, tutamwita mchina atawapiga za uso hawataamini, tena tutamwita mchina kwa terms nzuri sio kama hizo zao. kwendraaaa
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu kweli kweli za kutaka kuwapumbaza wajinga wasiojielewa kuunga mkono huu uuzwaji wa bandari kwa waarabu wa mama Samia. Hell big NO! Hatumtaki mwarabu hata kwa dakika moja.
Ukweli mnaita propaganda ili ujinga wenu ndo upewe nafasi
 
Ni kweli .
Waandishi Wa habari Wa Sasa ni janga kubwa sana .
Wanadhani kuwa nchi ikiingia kwenye matatizo makubwa wao watafanikiwa.

Waandishi Wa habari Badala ya kuwataja Mafisadi wanaoua bandari Kwa rushwa na ufisadi na kuishinikiza Serikali iwawajibishe majizi yaliyojujumu bandari wao wanashangilia nchi kuuzwa Kwa Waarabu na kuhatarisha usalama Wa nchi Kwa kiulinzi.

Mbona Uganda hawana Bandari na uchumi wao ni imara ?
Tatizo sio bandari ,tatizo ni wanaoteua na kuteuliwa kwenda kutafuta pesa za kampeni ya CCM Kwa ufisadi bandarini.!!

Mfano:Kiwanda Cha General Tyres kule Arusha kiliuzwa Kwa Wageni tukaaminishwa kuwa matairi yatapatikana Kwa Bei Chee. Matokeo yake Kiwanda kimekufa wakati huu wenye mahitaji makubwa ya tairi.

Kwanza ni Lazima tujiulize Nani hua wanawafadhili Vita na vurugu katika nchi zenye rasilimali nyingi barani Afrika?
Na je, ni Kwa nini tuliingia kwenye Muungano na nchi ya Zanzibar wakati faida ya Muungano kiuchumi ni ndogo sana Kwa watu Wa Bara hasa suala Zima za Ardhi na biashara ?
Bila shaka Muungano ulilenga kuimarisha Usalama Wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar. Udhibiti Wa vyombo Vya usalama kushirikiana na wananchi wenyewe kwenye Bandari zetu na ukanda Wa Bahari ya Hindi ni muhimu kuliko hizo pesa wanazotudanganya Nazo Hao Waarabu ilihali nchi Yetu unataka kuwekewa Uchi na usalama Wetu kuwa mashakani. Watakaoumia sana kwenye ulinzi Wa bandari na viwanja Vya ndege ni Watoto Wa maskini ambao WENGI Kule Ndani ya vyombo Vya usalama ni wale WENYE nafasi za Chini na mishahara Duni ukilinganisha na wanaohongwa na Waarabu na kujengewa appatment HUKO Dubai Ili Hali ya nchi ikiwa mbaya wakimbilie HUKO.

Je, Nani alihofiwa kuwa atakuja kuivamia Nchi yetu kupitia ukanda Wa Bahari ya Hindi mpaka Mwalimu na Karume wakaamua kuunganisha nchi ya Zanzibar na Tanganyika?
Bila shaka Kuna adui mkubwa sana Aliyekua anainyemelea Tanganyika na Zanzibar .
Je ,ni Nani huyo na anaivamia Kwa sababu Gani ?
Bila shaka ni wale waliofukuzwa Tanganyika na Zanzibar ambao ni Wazungu na Waarabu!!

Usalama Wa nchi Utakua hatarini sana mana Waarabu hawatainufaisha nchi Kwa kiwango kinachozidi mapato ya Sasa ya bandari Zote Nchini. Tumeuzwa Kwa sababu ya kushindwa Kwa watawala na Chama chao kuinua uchumi Wa nchi Badala yake wao ni mabilionea Kama alivyo Tulia , na wengineo katika mihimili ya kusimama Sheria na ile ya Serikali.
Wao ni mabilionea katikati ya nchi inayoitwa maskini mpaka waletewe pesa na Waarabu.
 
Ni bora basi kuacha malumbano na kuwakaribisha wawekezaji wengine wapya ama kuwashauri hao Dipii wolid kukubali kutekebisha mkataba ili basi kuondokana na hizi kelele,maana hata hao Angola na Kenya siyo kwamba wanafanya kazi na Diipi ndiyo maana wao wakafanya kwa ufanisi
 
Johari na wenzake ni mafisadi na ni dhahiri wamekula hongo ya Mwarabu!
Mjinga tu ndo atawasikiliza!
Hivi Zambia inawezaje kutukumbia wakati tuna hadi Reli ya pamoja nao ( TAZARA) na Bomba la mafuta ( TAZAMA)?!
Tanzania tuko strategically located kwa Congo, Rwanda, Malawi ,Zambia nk.
Hawa ni majambazi wanataka kukabidhi Bandari zetu haraka kwa Mwarabu baada ya kuongwa!
Watanzania tusikubali kamwe,tutajuta huko mbeleni!
 
Hakuna hujuma yoyote, watu wanataka ufanisi.
 
Kabda ya kuleta anabali ya gazeti naomba ujilidhishe Ilio gazeti linamilikiwa na nani kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…