Hujuma nzito bandarini

Ni Nani mmiliki wa hili gazeti? Wahariri wa vyombo vya habari huu ndiyo wakati wenu wa kushiba na kuvimbiwa. Na tumeona na kushuhudia kuhusu hili sakata la Bandari.
 
Nasisitiza, hakuna hujuma kubwa tuliyofanyiwa watanganyika zaidi ya ile ya kuzitoa bure bandari zetu zote milele, Samia ni msaliti.
Naona kuna jambo kubwa sana hapa wanalolilenga hawa watu.
Ni muhimu sana tuwe macho nao, hii siyo kawaida hata kidogo.

Nadhani kuna umuhimu sasa wananchi kuelewa kuwa kuna hujuma ya kipekee ambayo taifa linabidi kupambana nayo.

Kuna tatizo hapa.
 
Walio andaa na kutengeneza mkataba huu,na hata aina ya johari waliopewa dhamana halafu wanashindwa kusimamia mali zetu,na ukerli wanaujua.
Wasomea tumbo au ?
✍️
 
Serikali isirudi nyuma
Leo zile 'talking points' zote zimewekwa mahali pamoja!

Unadhani hizi zilileta ushawishi wowote kwa waliozisikia wakati mbalimbali?

Mbona inaonekana kama ndio zinazidi kuchochea moto wa kuukataa uhujumu huu dhidiya n chi yetu?

Katika mawazo yako, serikali ina nguvu zaidi ya wananchi inaopaswa kuwatumikia?

Huoni kamwe uwezekano wa badala ya "serikali isirdi nyuma"; ikawa ni "serikali kuondolewa" moja kwa moja?
 
DPW wasijisumbue kuja TZ kuendesha bandari.Watasusiwa kama walivyosusiwa Net Solution kwenye kusimamia Tanesco.
Naona Kuna propaganda nyepesi kama hii hapa juu
 
Hii kweli ni taarifa ya uchunguzi au nukuu ya maoni ya watu kadhaa
 
DPW wasijisumbue kuja TZ kuendesha bandari.Watasusiwa kama walivyosusiwa Net Solution kwenye kusimamia Tanesco.
Naona Kuna propaganda nyepesi kama hii hapa juu
Net group..
Walipigiwa makofi hao!! Tukajua TANESCO inakua mpya...
 
Nje ndani, hii issue haiwezi kufanikiwa endapo serikali ikiwa sikivu kwa raia wake.

Sababu kelele ni nyingi kutoka kwa wasio na nguvu.

Nakumbuka ile kampuni iliyoondolewa bandarini wakati wa JPM kama sitakuwa nakosea ilikuwa kampuni ya ndg Kinana na inasemekana aliondolewa kimagumashi, hadi leo yeye au watu wake waliokuwa ndani mle sijawahi sikia wakiongea.

Hivyo basi hili suala lina watu wengi sana na wamo humo humo CCM ambao hawakubali hii cake ya taifa ikalowe na mtu from no where, lazima watahakikisha inabuma.

Nadhani ni hasara kwa watu wanaojipambanua kutetea nafasi zao kisiasa ili wasitemwe, huku mawe yakijiandaa kuongea.

Hawa kina Dr. Slaa, wakili nk, ni sehemu ndogo sana kuliko waliopo nyuma na hawana kibweta cha kwenda kuongelea.

Yangu macho na masikio kuona mwisho, huku kwetu tunajenga na kuwekeza kusubiri kustaafu.
 
DP World has a controversial record. In February 2006, an announcement by DP World that it was taking over management of six US ports in a $3.7 billion (Sh436 billion) deal kicked up a controversy in Congress, mainly on security considerations. Under pressure and public scrutiny, DP World dropped the deal.
In 2012, Djibouti filed an arbitration case in London against DP World, claiming that the firm bribed an official to secure concession to run Dolareh – the largest container terminal in Africa.
Though Djibouti lost, the case revealed insights into dealings between corrupt elites and global concession operators.
dguguyu@ke.nationmedia.com
 
Mama kanyaga twende tumechelewa sana.
Wajinga mko wengi sana
UK nguvu ya umma ilisimama kuhoji suala la usalama DP wakabwaga manyanga
Djbut japo walishinda kesi ila ilibainika hawa jamaa ni watoa rushwa wakubwa!
Unadhani chawa wanavyooelekwa Dubai ni Bure?
Wabunge woote ambao hawajui hata kama walipitisha mkataba au makubaliano Leo wanatetea Kwa nguvu wasichokijua unadhani ni Bure?
Soma hii:
DP World has a controversial record. In February 2006, an announcement by DP World that it was taking over management of six US ports in a $3.7 billion (Sh436 billion) deal kicked up a controversy in Congress, mainly on security considerations. Under pressure and public scrutiny, DP World dropped the deal.
In 2012, Djibouti filed an arbitration case in London against DP World, claiming that the firm bribed an official to secure concession to run Dolareh – the largest container terminal in Africa.
Though Djibouti lost, the case revealed insights into dealings between corrupt elites and global concession operators.
dguguyu@ke.nationmedia.com
 
Eti foleni ya mchongo Tunduma. Raia Mwema wamekuwa kijarida nao. Foleni ya Tunduma ni ya mchongo?
 
Kwani kabla ya hapo bandari si ilikuwa inasimamiwa na hawa hawa majizi?

Kweli CHUKUA CHAKO MAPEMA(CCM)
 
Kila siku tunaandika humu,bila CCM kuondoka madarakani,Tanzania haita piga hatua yoyote.
CCM ni laana.
 
Barabara ya TANZAM Dar es Salaam hadi Zambia na Reli ya TAZARA ipo kwanini mizigo ya Zambia, Malawi na DR Congo ipoteze muda bandari kavu ICD nchini Tanzania hadi ichajiwe US$ 1,200 ?

ilitakiwa TAZARA iwe inapiga mzigo siyo kawaida hadi bandari na bandari kavu ziwe tupu zibaki container inayo kaa siku moja tu au masaa 12 bandarini

Tanzania wanapenda foleni nenda Tunduma uone foleni za ajabu customs upande wa Tanzania malori yalitakiwa yasikae dakika 20 kuchekiwa karatasi zote za customs hadi wenyewe Zambia na DR Congo wakimbilie kutumia huduma za TAZARA na malori upande wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…