Duh Atakuwa na uhusiano wowote na Hashimu lundenga dah dahView attachment 597434
Nasikia kaacha ki manka cha miaka 30!!?Hahah!, kwa kweli! 😀
It's thought that Hugh Hefner's wife Crystal Harris will inherit nothing after his death.Whaat!, inawezekana, labda ni huyo alioa wakati mdada alikuwa in mid 20s miaka michache nyuma.
It's thought that Hugh Hefner's wife Crystal Harris will inherit nothing after his death.
The Playboy founder has passed away at the age of 91, leaving 30-year-old Crystal a widow.
View attachment 597529
Nalendwa mwaka jana alitafuta mawasiliano yako hakufanikiwa kuyapata
mikataba kama.ya makinikia!!Khaa!, wewe!
Lakini kwa nini mdada hajaachiwa Urithi?!
Na Mali zote hizo za Ex hubby?!
Hili gazeti lilikua msaada mkubwa sana nilipokua boarding
We mourn you Playboy
NB:
Natafuta picha ya yule Dada Playmate ana asili ya Tz (Mwanza??) alishaenda kukaa mansion mwezi mzima miaka kadhaa iliyopita ila nimesahau jina lake.
Ndivyo ilivyo umeipenda !?Haha!, kwa kweli Fundi.
Inawezekana mdada ali sign prenuptial ya kutopata chochote toka kwa mzee..