habari wanaJF. nataka kutoa taarifa kwamba mwishoni mwa mwezi hu wa november tunatarajia kuhamisha ofisi kwenda mtaa wa Sewa - mtaa unaoanza na msikiti wa NGAZIJA. nyuma ya mtaa wa hospital ya Hindu Mandal. wote mnakaribishwa kwa kazi zenu zote za printing.
business cards - 15,000 (pc 100, one side printing)
fliers A5 single side - 300
fliers A5 double side - 500
brochures A4 double side - 800
wheelcovers - 30,000
vitabu na vitu vingine bei zinatofautiana kwa idadi, size na rangi