Huduma ya usafi

Kwizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
420
Reaction score
689
Habari zenu waungwana,

Ninatoa huduma za:
  • Usafi wa Nguo(Kufua na Kupiga Pasi)
  • Kusafisha Masofa Aina zote
  • Kufua Mazuria
  • Kusafisha Nyumba.
Mwenye uhitaji wa huduma hizo anitafute kwa namba 0686907486.

Napatikana Dar es Salaam.

Karibuni.
 
Nguo kufua ni sh. ngap?
Shati, tshirt, pensi, suruali ni 2000
Towel, Mashuka 3000
Vest, Socks 1000
Suti 6000
Koti la suti, Pullover 3500
Jacket inaanzia 5000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…