Labda ni tatizo kwa baadhi ya wateja tu. Binafsi nimekuwa naitumia huduma hiyo bila matatizo (ukiacha "outages" mara chache).Mara ya mwisho nimeitumia juzi (10 April 2013).Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kutumia hiii huduma inaandika sorry you do not have enough funds nikienda kweny atm nakuta hela zipo nikiingia ndani hela zipo kwenye akaunti mwanzo nilishtuka nikajua nimeibiwa lakini sasa hii ni zaidi ya usumbufu sitimiziwi malengo yangu ya kujiunga na hii huduma kama vipi mnitoe tuu nijue sina sim banking nimeripoti ndani kabinti kananibania pua kanasema ni tatizo la mtandao wiki mbili tatizo gani tena kama mmeshindwa toeni na matangazo yenu ya sim bankig kwenye atm
yani hata access ya kufanya matumizi sipati inaandika tu hauna salio la kutosha kukamilisha muamala huu sielewi muamala ndo nini wakati hata sijafanya chochote kile cha matumizi hivi vibinti wameviweka cutomer care vinaboa sana siyo kila mtu anawatongoza hadi mbane pua alaaa watu tuna hela zetu tupeni hudumaLabda ni tatizo kwa baadhi ya wateja tu. Binafsi nimekuwa naitumia huduma hiyo bila matatizo (ukiacha "outages" mara chache).Mara ya mwisho nimeitumia juzi (10 April 2013).
Au pengine una-transact zaidi ya viwango vinavyokubalika (kwa muamala, kwa siku)?
Katika namba ulizojaribu kupiga zipo hizi (0714/0789/0755-197 700)? Niliwahiwahi kupata tatizo fulani nikahudumiwa haraka tu kupitia mmojawapo ya namba hizo.yani hata access ya kufanya matumizi sipati inaandika tu hauna salio la kutosha kukamilisha muamala huu sielewi muamala ndo nini wakati hata sijafanya chochote kile cha matumizi hivi vibinti wameviweka cutomer care vinaboa sana siyo kila mtu anawatongoza hadi mbane pua alaaa watu tuna hela zetu tupeni huduma
Hakikisha cm yako ina credit
Kweli mkuu, hiyo sms ya sorry .......huwa inaonekana kama simu haina credit. Kwa hiyo jamaa asiilaumu CRDB tatizo ni credit.
yani hata access ya kufanya matumizi sipati inaandika tu hauna salio la kutosha kukamilisha muamala huu sielewi muamala ndo nini wakati hata sijafanya chochote kile cha matumizi hivi vibinti wameviweka cutomer care vinaboa sana siyo kila mtu anawatongoza hadi mbane pua alaaa watu tuna hela zetu tupeni huduma