Huduma ya online na mobile tuition njoo hapa

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,632
Reaction score
5,023
*TANGAZO TANGAZO*

Tunatoa huduma ya masomo kupitia online tuition, huduma hii inawalenga wale ambao hawapati muda wa kutosha kutokana na majukumu mbalimbali ya maisha, kupitia huduma yetu utakuwa unafundishwa ukiwa popote pale bila kuingilia majukumu yako ya kilasiku.

Njia tunazotumia kufundishia ni
1)Audio visual
2) Tutorials

Huduma itatolewa kupitia platforms mbalimbali ikiwemo WhatsApp.

Pia tunatoa huduma ya mobile teaching, yaani tunakufuata mpaka ulipo kwaajili ya table teaching na kukuza maarifa zaidi.

Tunafundisha masomo yafuatayo:-
1) Geography
2) History
3)Physics
4)Mathematics
5)Civics

Jukumu letu ni kukuhudumia sehemu yoyote ulipo.

Teacher Isac & Lio from UDOM

Program inaanza mwezi huu kwa masomo ya O-level, mobile teaching kwa Dar es salam

“Get knowledge everywhere you are”
 
Level gani sasa hebu kamilisha habari yako
 
Kama mathematics whatsapp tunaeleweshana vp na ada zenu zikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…