Huduma ya NBC Mobile Banking


Mimi sijajibiwa mwaka mmoja na karibia miezi kumi sasa. Nilijazia Muhimbili.
 
Mimi sijajibiwa mwaka mmoja na karibia miezi kumi sasa. Nilijazia Muhimbili.

Pole mkuu,mwanzo nilienda pale tawi lao la tazara haikupita wiki nikaunganishwa kweli mesej iliingia.Baada ya mwaka huduma hiyo ikawa tabu kwangu ,nikaenda pale mliman city ,nikasubir mesej ndani ya wiki mbili nilipoona kimya nikareport sasa nimeunganishwa tena,nakushauri tembelea tawi lililo karibu nawe waeleze tatizo lako tena ujaze form upya.
 
Huduma za NBC Zanzibar ziko slow sana na haziridhishi, mimi nimeshajaza hiyo form mara mbili, mwaka jana na mwaka huu, hadi leo sijapokea SMS yoyote.

Halafu mwaka huu kumekuwa na tatizo la ATM cards kumezwa bila sababu inayoeleweka, nimefuatilia nikaambiwa kadi nyingi zina matatizo hivyo zinahitaji kubadilishwa, wanajibu wateja hovyo hovyo, hawakuombi hata samahani.

Badala ya kuwataarifu wateja warejeshe kadi mbovu ili wapewe mpya wakatumia strategy ya kuzi capture kwenye ATM machine, yaani ni usumbufu mkubwa mno kwa wateja kwani unatakiwa kujaza fomu ya kuomba kadi mpya, ukawatolee copy ya kitambulisho, upigishwe foleni, uzungushwe mara kwa huyu mara kwa yule, yaani upuuzi mtupu.

Ninafahamu watu wengi zaidi wanaosema wamefunga account zao NBC kuliko wanaosema wamefungua account mpya, shame on National Bank of Commerce.
 
NBC huduma ya mobile banking mie nimeshajaza fomu Mara Tatu. Sijui tatizo ni nini nikirudi huwa wananipa fomu mpya nijaze nimeona michosho nimeamua kufungua CRDB
 
Ha hahaha..mimi wameniunganisha baadaya ya kujaza form mara 4 lakn bado ilikuwa hola,ila nilpo badili kadi nikajaza inf.upya..hapo ndpo nilpopata huduma ya sim banking hiyo ni baada ya miaka 2
 
NBC huduma ya mobile banking mie nimeshajaza fomu Mara Tatu. Sijui tatizo ni nini nikirudi huwa wananipa fomu mpya nijaze nimeona michosho nimeamua kufungua CRDB
Mkuu sio NBC tu mm niko benki ya posta nimeihangaikia hiyo huduma zaidi ya miez 5 nimeshajaza hizo form zaid ya mara tatu na huduma sijaipata na ukiwafuata kila mhudumu anakupa sababu yake. Mara huduma hiyo haifanyi kazi kwenye simu za lain 2, mwingine simu za android hazikubali hiyo huduma, mwingine no problem tutakuunganisha soon yan mpaka nimechoka nafikiria kuhama tu.
 
Njooni Equity Bank, kila kitu instant. •Account opening
•ATM card issuance
•Mobile banking
•Internet Banking
Sijaona bank yenye robust systems kama za hawa jamaa Tz yote. Malipo ya cheque hayachelewi, ikibounce utapigiwa simu. Aaah...keep the good work Equity Bank.
 
Wafanyakazi wengine kwenye hizi taasisi ni Vimeo sana.
Yaani hawajui wanachofanya zaidi ya kukupa vijisababu visivyo na maana kabisa.
 
Reactions: Mss
Mkuu inategemea na branch ulipojazia hizo form, siwatetei ila mimi nilipata huduma hiyo within one day NBC branch ya Lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…